Skip to content
Bei za Parachichi Oktoba 2026 Tanzania | Miche.co.tz
Bei za Parachichi Tanzania | Oktoba 2026office@miche.co.tz
Taarifa ya soko • Mwezi wa Oktoba

Bei Anzia ya Parachichi Tanzania

Angalia bei za Hass na Fuerte kwa maeneo makuu ya uzalishaji, mikoa mingine na daraja la viwandani.

Bei rasmi za Oktoba 2026

Bei zilizo hapa zimetolewa kwenye tangazo la mwezi wa Oktoba. Tumia taarifa hii kupanga mavuno, usafirishaji na mauzo ya parachichi yako.

Bei anzia ya parachichi mwezi Oktoba 2026

Chanzo: Tangazo la bei ya parachichi, Oktoba 2026.

2. Mikoa mingine

HassTZS 2,100/kg
FuerteTZS 1,000/kg

3. Daraja la viwandani

Mikoa ya uzalishajiTZS 875/kg
Mikoa mingineTZS 875/kg
Muhimu: Bei zinaweza kubadilika kulingana na ubora wa tunda, ukubwa, kiasi, msimu, mahali pa mauzo na gharama za usafirishaji. Thibitisha bei ya siku kabla ya kufanya mkataba wa mauzo.

Chagua miche bora

Miche iliyopandikizwa hukusaidia kupata aina yenye sifa na uzalishaji unaotabirika.

Linda ubora wa tunda

Vuna kwa wakati, panga vizuri na epuka kuharibu ngozi wakati wa kufungasha.

Fikia wanunuzi

Wasiliana na Miche.co.tz kwa taarifa za miche, soko na ushauri wa kilimo.

💬 WhatsApp

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *